Deuteronomy 14:21

21 aMsile kitu chochote mtakachokuta kimekufa. Mnaweza kumpa mgeni yeyote anayeishi katika mojawapo ya miji yenu, naye anaweza kula au mnaweza kumuuzia mtu wa nchi nyingine. Lakini ninyi ni watu watakatifu kwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu.

Msitokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.

Zaka

Copyright information for SwhKC